Nay wa Mitego afichua kisa cha wimbo wake Mama kufungiwa, amlilia Rais Samia ‘Tunatafuta kazi zingine zakufanya’ (Video)

Msanii wa muziki wa hi hop Nay wa Mitego amezungumza #ExclusiveNaBongo5 kuhusu wimbo wake mpya Mama ambao ulitakiwa uachiwe leo baada ya wimbo huo kufungiwa na Baraza La Sanaa Taifa BASATA. Rapa huyo amedai baada ya sentensi ambazo zimemfanya afungiwe ni ‘Shangazi Halima na Baba alikuwa mkali’ kwa madai ni mashairi ambayo yanaleta ukakasi.

 

Related Articles

Back to top button