Burudani
Nay wa Mitego Atua Basata wimbo wa Nitasema wamponza
Mapema leo Rapa wa Bongo Fleva @naytrueboytz aliitwa BASATA na hapa ameongea na Wana Habari.
@naytrueboytz amewashukuru Mashabiki wake kwa sapoti.
Video nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Credit by #Abrah255