Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Nay wa Mitego: kuna wasanii waoga walikataa kuimba kwenye album yangu

Album ya RAIS WA KITAA ya @naytrueboytz tayari imetoka kwenye platform mbalimbali na ameeleza kwa urefu zaidi.

@naytrueboytz ameongeza kuwa lengo la yeye kufanya Press kwenye stendi ya daladala ya Mawasiliano ni kiashiria kwamba yeye ni Rais wa Kitaa na ndio maana ameipelelea album hiyo Mtaani.

Related Articles

Back to top button