Burudani
Nay wa Mitego mikononi mwa BASATA tena kisa mashairi ya wimbo Alisema (Video)

Msanii wa muziki Nay wa Mitego aliitwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwaajili ya kikao cha kuupitia wimbo wake mpya ‘Alisema’ ambao kwa sasa unafanya vizuri. Wimbo huo unadaiwa kuwa na maneno ambayo yanadaiwa kuwa na tatizo.