Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMuziki

Nay wa Mitego x Alikiba ngoma kesho #NIKIKUONA

Huenda ndo kile alichosema Rais wa Kitaa @naytrueboytz kuwa kesho anaachia wimbo wa mapenzi. Sasa hiyo kesho kuna suprise hii kubwa ya ngoma yake @naytrueboytz akimshirikisha @officialalikiba

Kupitia Imstagram ya @naytrueboytz ameweka wazi kuwa ngoma hiyo itatoka kesho na inaitwa NIKIKUONA

Weka emonji ya 🔥 kama unaisubiria collabo hii kwa hamu na nguvu ya 4G 🤓

Related Articles

Back to top button