Habari

Ndege ya Precision Air yaanguka ziwa Victoria

Ndege ya Kampuni ya ndege Precision Air imeanguka katika ziwa Victoria baada ya kushindwa kutua uwanja wa Ndege wa Bukoba wakati ikijaribu kutua kwenye uwanja huo.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na wanaendelea na juhudi za uokozi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents