Muziki
New Audio: Mafikizolo & Yemi Alade – O Fana Nawe

Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini wameachia audio ya wimbo wao mpya waliofanya na Yemi Alade kutoka nchini Nigeria, jina la wimbo huo ni “O Fana Nawe”.