Roma amerejea na ngoma mpya ‘Mtoto wa Kigogo’ aliyomshirikisha Walter Chilambo. Ni wimbo wake maalum kwaajili ya mpenzi wake anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni.