Videos
New Video: Jamwe He Ft Chege -Nado
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Jamwe He ameachia video mpya ya ngoma yake iitwayo ‘Nado’ ambapo amemshirikisha Chege, video imeongozwa na Eric Mlindima & Mask. Itazame hapa.