Habari
Ngamia 21 kuchinjwa harusi ya Diamond na Zuchu

Kufutia kauli ya @mwijaku kusema kwamba @diamondplatnumz anapapatika baada ya ndoa ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki @officialbabalevo ametangaza balaa kubwa kwenye harusi ya Diamond na Zuchu kwamba Ngamia 21 zitachinjwa na Sherehe kufanyika siku 27 mpaka na Mikoani
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5