Bongo5 ExclusivesHabariMahojianoMichezo

Ngoda: Ligi ya msimu huu itakuwa na ushindani sana, ukiziacha Simba, Yanga na Azam kuna Singida na Dodoma Jiji zakuangaliwa sana

Siku ya leo klabu ya Simba umetambulisha jezi zake na mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa na mwitikio mkubwa juu ya kununua jezi za klabu yao.

Akiongea na Bongofive Mtangazaji wa mpira wa Azam Ramadhani Ngoda ameeleza kuwa kwa namna vilabu vya Tanzania vinavyotambulisha jezi zao vitavifikia vilabu vikubwa duniani akivitaja kama Real Madrid na Manchester United.

Mbali na hilo ameeleza namna ligi kuu msimu huu wa 2022/23 utakavyokuwa mgumu akivitolea mfano vilabu vilivyojipanga vizuri kama Singida Big Stars, Namungo na Dodoma Jiji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents