
Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans 🇹🇿 na Azam Fc 🇹🇿 Donald Dombo Ngoma (35) amejiunga na Hardrock Fc ya nyumbani kwao Zimbabwe 🇿🇼 kama mchezaji huru.
➡️ Lakini pia Hardrock imemsajili mshambuliaji wa zamani wa Baroka Fc 🇿🇦 Cleopas Dube 🇿🇼 (34)