Michezo
Ni Simba vs Orlando Parites Robo Fainali
Miamba ya soka Barani Afrika Simba SC imepangwa kucheza na Orlando Parites mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba itaanza kucheza tarehe 17/4/2022 kwa Mkapa kisha kumalizia nchini Afrika Kusini April 24, 2022