Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Nigeria wanatushinda wapi kutengeneza na kukuza wasanii wapya kila mwaka?? – El Mando
Kupitia kipindi cha RECAP NA MANDO @el_mando_tz ameeleza mtazamo wake juu ya namna ya kukuza wasanii wapya kila mwaka kupitia muziki wa Bongo Fleva.
@el_mando_tz ametolea mfano namnna taifa kama Nigeria linnavyotengeneza wasanii wapya kila mwaka na hiyo ni kutokana na mifumo ya mashabiki na media kuwapa nafasi wasanii wapya kwennye soko la muziki.
Kwenye soko la muziki wa Tanzania kuna haja ya kutengenezwa wasanii wapya ambao watafanya vizuri kufikia level za Diamond na Alikiba ambao walifikia hatua kugombea tuzo na kubeba tuzo mbbele ya Davido na Wizkid.
Kwenye soko la sasa unahisi kuna vijana wa kubeba tuzo mbele ya Tems, Rema, Ayra Starr na wengine?? kama hakuna unahisi kwanini?? hatuna wasanii wa new generation??
Wapi tunakwama??