
“na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki @ChademaTz kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza nitakuwa mwanaharakati huru nitasema sina chama lakini kamwe sitaweza kuwa mwana CCM.
“Maria Sarungi @MariaSTsehai sio mjumbe wa kamati kuu Fatma Karume @fatma_karume sio mjumbe wa kamati kuu Madeleka @PMadeleka sio mjumbe wa kamati kuu hatusemi kwa sababu tuna jina tunasema kwa sababu kuna hitaji la kusema.”
@godbless_lema akizungumza na wanahabari leo Januari 14 Dar Es Salaam.