Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Ningekuwa kiongozi Zumaridi angekuwa ndani – Steve
Steve Nyerere ameeleza kukerwa na alichozungumza Mfalme Zumaridi kuwa ameonana na Mungu.
Akiongea na @el_mando_tz @stevenyerere2 ameongeza kuwa ndio maana watu wengine wameanza kushawishika kuupenda Uislam kwa sababu anaamini kuna watu wanaharibu dini ya Kikristo.
@stevenyerere2 ameongeza kuwa laiti yeye angekuwa kiongozi Mfalme Zumaridi amgekuwa ndani sasa hivi.
Interview nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Written and edited by @el_mando_tz