Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Simba SC dhidi ya Raja Casablanca Jumamosi ya Februari 18, mchambuzi wa soka @allimzuri20 kupitia #B5Sports ya Bongo5 amesema kuwa kama yeye angekuwa Kocha Robertinho basi angeanza na Nahodha John Bocco badala ya Jean Baleke siku hiyo.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
MUSIC AUDIO: Zuri Music – RAHA1 week ago
-
MUSIC VIDEO: DULLA FIRE X DR KAREEM – NJOO2 weeks ago