Michezo
Nipo Simba kwa sababu mimi ni bora – Ateba

“Sifuatilii sana mambo ya mitandao ila mimi Nipo Simba kwasababu ni mchezaji mzuri, kama mchezaji kuna muda unapitia wakati mgumu na kuna muda unakuwa kwenye ubora, Nitazidi kupambana zaidi
“Kila mchezaji anatamani kucheza nusu Fainali ya kesho, tupo tayari”