Niva: Bongo movie tubadilike, msanii anarudia suti kila movie we uliona wapi (+ Video)

Msanii wa Bongo movie Niva Super Mariyo amewaasa wasanii wenzake wa Bongo movie na kuwaambia wabadilike kwani soko la sasa hivi sio kama la zamani, haiwezekani msanii arudie suti ile ile kila movie.

Related Articles

Back to top button
Close