Niva: Kajala huwa hadumu kwenye mahusiano, Harmonize nampa miezi tu (+ Video)

Msanii wa Bongo movie ambaye pia ni rafiki wa @kajalafrida @niva_supermariyoo ameeleza kuwa kwa yeye anavyomjua @kajalafrida huwa hadumu kwenye mahusiano na mahusiano yao na @harmonize_tz yeye anawapa miezi tu.

Mbali na hilo @niva_supermariyoo ameeleza kuwa wasanii wa Bongo movie wana shobo sana na wasanii wa Bongo Fleva na ndio maana wao wanapost/wasapoti nyimbo zao kwenye mitandao ila huwezi kumuona msanii wa Bongo Fleva anapost movie ya msanii wa Bongo movie.

Related Articles

Back to top button
Close