Mahojiano

Niva: Wasanii wa Bongo movie wana shobo na wasanii wa Bongo Fleva (+ Video)

Msanii wa Bongo movie ambaye pia ni rafiki wa @kajalafrida @niva_supermariyoo ameeleza kuwa kwa yeye anavyomjua @kajalafrida huwa hadumu kwenye mahusiano na mahusiano yao na @harmonize_tz yeye anawapa miezi tu.

Mbali na hilo @niva_supermariyoo ameeleza kuwa wasanii wa Bongo movie wana shobo sana na wasanii wa Bongo Fleva na ndio maana wao wanapost/wasapoti nyimbo zao kwenye mitandao ila huwezi kumuona msanii wa Bongo Fleva anapost movie ya msanii wa Bongo movie.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents