Burudani

Nmapenda Zaylisah akinipigia tu nachoropoka – Dulla Makabila

Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz @dullamakabila ameeleza namna Zaylisa alivyomfanya akalia mbele ya Hotuba ya Makamu wa Rais Dodoma.

Anasema bado anampenda sana Zaylisah na hata akitaka warudiane leo yupo Tayari na ataachana na mwanamke aliyenae.

Anaongeza Namba yake ya Simu bado anayo hajaofuta na hajali yote aliyomfanyia.

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents