Habari

NMB yakutana na Wamiliki wa Maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA)

Meneja wa Bima wa NMB, Bw. Adam Nsenga akiwasilisha mada kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam, katika mkutano na benki hiyo jana kwenye Hoteli ya Johari Rotana.
Mkuu wa Idara ya Biashara NMB, Alex Mgeni akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Meneja Mwandamizi Amana Idara ya Biashara wa NMB, Lilian Malekia akizungumza na chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) wakiuliza maswali kwa maofisa wa Benki ya NMB mara baada ya mkutano na benki hiyo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Biashara Benki ya NMB, Bw. Alex Mgeni akielezea fursa za kibiashara zinazopatikana ndani ya NMB kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam, katika mkutano na benki hiyo jana kwenye Hoteli ya Johari Rotana.
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe akielezea huduma za bima mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kwa chama cha Wamiliki wa maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA) jana jijini Dar es Salaam

Related Articles

Back to top button