HabariMichezo

Ntibazonkiza anamkimbiza Mayele kimya kimya

Saido Ntibazonkiza anafunga magoli yake matano, anawashusha daraja Polisi Tanzania kwa heshima zote, hakika amekuwa na msimu bora sana kwake.

Huu ni usajili bora sana kwa @simbasctanzania msimu huu magoli 15, assist 12 mpaka sasa.

Ntibazonkiza ni kama anamkimbiza mtu wake kimya kimya hivi kwa maana ya idadi ya magoli akiwa na mabao 15 wakati Fiston Mayele akiwa na 16.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents