AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

Nuh Mziwanda awatupia lawama Mwijaku na Baba levo ( Video)

Kupitia moja ya post yake Instagram msanii huyo wa Bongo Fleva @iam_mziwanda ameandika kuwa:-

“Oya nahaso Najitafuta napambana kama mtoto wa kiume mradi familia ipate ugali, Simsemi kwa Ubaya Jaku Boy ila waliokuzunguka kwenye ridhiki yangu hawataki nifike (Watanzania wenzangu Naomba Nguvu yenu Naomba Sana
Munisaidie na Mfeel Maumivu yangu) na Huu ujumbe umfikie pia Bi levo Ba ‘wote tulikua Familia na tulifurahi Pamoja ‘Basi Mimi ndio yule Yule Naomba Pia mnisaidie ‘Msimuangilie Huyo Mwanamke mimi Mwanaume mwenzenu ‘Mbona Mlikua Wanangu sana sana sana zaidi ya sana kama Bi levo Ba ‘Naombeni Mnisaidie Mimi ndugu yenu Msiangalie Mlipo
‘tukumbuke tulipotoka Huyo mwanamke tu ubinamu ni Upendo naomba sana sana Msiangalie Maneno ya Huyo Mwanamke kisa yeye ana Kitu Mimi sina ‘najua Ni Mambo yangu Binafsi ila najua Mnaelewa naongea Nini na hata nikifa mtajua ukweli uko wapi”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents