Burudani

Nyashinski aondoa zaidi ya nyimbo 20 Spotify, Apple

Mwanamuziki kutoka Nchini Kenya, Nyashinski ameondoa zaidi ya nyimbo zake 20 kutoka kwenye majukwaa ya muziki kama Apple Music na Spotify ikiwemo wimbo wa Malaika, Mungu pekee na Aminia pasipokubainisha sababu za kufanya hivyo.

Uchaguzi umebaini kuwa nyimbo zilizoondolewa zimetengenezwa na mtayarishaji maarufu, mtunzi wa muziki na mwimbaji, Cedric Kadenyi ambaye kwa upande wake hajaondoa nyimbo zozote alizoshirikiana na Nyashinski.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents