Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojianoMuziki
Nyimbo ya kwanza kwa Mr Blue alikuwa Darasa la Saba (Video)
Wakati akifanya mahojiano na @el_mando_tz mkongwe wa Bongo Fleva @abbyskillz_tz amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake ya muziki.
Mbali na hilo amesimulia namna zamani walivyoishi na wenzake kama @officialalikiba @mrbluebyser1988 @queendarleen_ na @princedullysykes Kariakoo.
Amesimulia pia namna alivyofanya video na @queendarleen_ ya MIMI WEWE aliyomshirikisha @mrbluebyser1988 na kudai @queendarleen_ alikuwa mjamzito.
Mahojiano yote ya @abbyskillz_tz yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa