Nyota ya Wema Sepetu yang’ara, tamthilia yake ya Karma yatinga Maisha Magic Bongo (Video)

Nyota ya malkia wa filamu @wemasepetu imeendelea kung’aa baada mapema leo tamthilia yake ya Karma kutinga @dstvtanzania . Muigizaji huyo ambaye ana mvuto wa aina yake amesema tamthilia hiyo itaonyesha kuanzia tarehe moja mwezi ujao kupitia channel ya Maisha Magic Bongo.

Related Articles

Back to top button