Nzige wageuka kuwa fursa kwa vijana Kenya, waiomba Serikali iache kuwanyunyuzia sumu (+ Video)

Vijana wa Kenya wameiomba Serikali kuacha kuwaua Nzige kwa kuwanyunyuzia dawa kwani wamegeuka kuwa fursa kwao.

Inaelezwa kuwa tayari imepatikana kampuni ambayo inachakata hao Nzige na kuwa chakula cha mifugo hivyo imeajiri vijana wengi amabo huwakamata Nzige hao na kwenda kuwauza katika kiwanda hicho.

Hivyo wameiomba Serikali kuacha kuwaua kwa kuwanyunyuzia dawa kwani wao watakosa ajira.

 

Bofya hapa Chini kutazama zaidi.

 

https://www.instagram.com/tv/CLoQAaehcSs/

Related Articles

Back to top button
Close