HabariMichezo

Okwa, Akpan rasmi watua Ihefu SC

Klabu ya Ihefu SC imewatambulisha rasmi nyota wake wawili Nelson Okwa na Victor Akpan kama ingizo jipya baada ya kuhusishwa wachezaji hao kutua kwa Mbogo Maji.

Okwa na Akpan ni wachezaji waliotoka Simba SC baada ya kuwatumikia miamba hiyo ya soka Afrika Mashariki na Kati kwa muda mfupi tu.

Victor Akpan

Ihefu SC ipo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi kuu na kuwapata wachezaji hao huwenda wakawasaidia kujinasua kutoka mkiani.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents