Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Ommy Dimpoz alivyomuimbia mama yake DJ Joozey, amuachia ujumbe huu
Usiku wa kuamkia leo imefanyika Show katika ukumbi wa Element Masaki jijini Dar Es Salaam iliyoandaliwa na DJ Joozey.
Show hiyo aliyoiandaa DJ huyo anayefanya vizuri kwa sasa Tanzania @djjoozey aliipa jina la DJ JOOZE WITH FRIENDS.
Katika show hiyo wamehudhuria mastaa mbalimbali akiwemo Ommy Dimpoz.
Mbali na Ommy Dimpoz pia mama yake mzazi DJ Joozey ambapo alipata nafasi ya kuimbiwa wimbo wa NANI KAMA MAMA wa Christian Bella ft Ommy Dimpoz.