Technology

Oraimo waleta Slide Into Your World

Brand ya oraimo inayodeal na kuuza accessories nchiniTanzania, inatarajia kufanya uzinduzi wa bidhaa yake mpyaFREEPOD 4, ambayo ni muendelezo wa earbuds zao zaFREEPOD 3 zilizotoka mwishoni mwa mwaka juzi (2021). Kwa wale watumiaji na wapenzi wa Earbuds, hii bidhaa ni special kwao maana inakuja na muundo mpya wa Sliding Case pamojana APP rasmi (oraimo sound) utakayotumia kuzi-control buds zako. Pia wameboresha zaidi Betri, Muonekano na Functionszitakazopatikana ndani ya App.

 

 

 

FREEPOD 4 imeboreshwa Zaidi kwenye upande wa betriambapo, utaweza kusikiliza muziki mwororo   kwa Zaidi ya siku moja na nusu (masaa 35.5). Sio hivyo tu pia inakuja na sifanyengine ya Active Noise Cancellation. Sifa hii itakusaidiakusikiliza mziki au kuongea na simu bila muingiliano wa sautiza nje, FREEPOD 4 inazuia sauti za nje (Hautaweza kusikia sauti za watu, vitu vingine pindi ukiweka ON) kwahiyo itakupa uhuru wa kuenjoy kila utakachoko kuwa unasikiliza.

Bidhaa hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 3 March, hivyoitakuwa inapatikana katika maduka yote ya Accessories Tanzania nzima kuanzia siku hiyo. Hivyo basi wapenda bidhaaza oraimo au wapenzi wa kutumia Earbuds mjiandae kupokeabidhaa hii kali kutoka oraimo.  Kufahamu Zaidi kuhusu bidhaaza oraimo tembelea tovuti yao, https://tz.oraimo.com Au kwenyepage zao za mitandao ya ijamii;

oraimotanzania (@oraimotz) • Instagram photos and videos

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents