
Mashabiki wa Simba SC leo siku ya Alhamisi wameendeleza shangwe lao la hamasa kuelekea mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidhi ya Orlando Pirates mchezo utakao pigwa siku ya Jumapili ya Aprili 17 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kuangalia video bofya HAPA