Michezo
Oscar KMC amkataa kocha wake Marcio Maximo
Mchezaji wa klabu ya KMC Oscar Paul amekataa Kauli ya kocha wake kuwa penati ya Yanga sio halali na kusema kuwa wao ni kweli walifanya makosa.
kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive






