Burudani
Oscar Oscar atangaza kuja kuikomboa Hip Hop TZ

Hii hapa ngoma mpya ya @oscaroscarjr inaitwa MNIOMBEE akiwa na @johmakinitz tayari imetoka.
Kauli ya @oscaroscarjr anasema kuwa amekuja kuikomboa Hip Hop ya Tanzania maana anaamini imekufa na amesema ngoma hii ni kuanzia watu wa miaka 18+
Baada ya kuisikiliza Ngoma ya Hip Hop ya @oscaroscarjr unahisi ni kweli Hip Hop ipo mikono salama??
https://www.instagram.com/reel/DJ6McinNh0R/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==