Habari

Othman Masoud mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad

Othman Masoud ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia tarehe 17 Februari mwaka huu 2021.

Uteuzi wa Masoud umefanywa na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi baada ya mashauriano na chama cha ACT-Wazalendo.

Uteuzi huo umeanza leo tarehe 01 Machi 2021 na sherehe za kuapishwa Makamu wa kwanza wa Rais itafanyika tarehe 02 Machi 2021 saa 4:00 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents