BurudaniHabari

Otile Brown alivyozomewa na mashabiki akiwa jukwaani (Video)

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown wakati anatumbuiza kwenye Tamasha la Raha huko Kenya alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya mashabiki kumzomea.

Otile baada ya kupanda jukwaani mashabiki walianza kumzomea bila kujua sababu ni nini.

Watu wengi wanahusisha tukio hilo na kauli yake aliyoitoa majuzi kuwa Afrika Mashariki hakuna msanii wa Kimataifa.

Wengi waliona kama Otile aliwavunjia heshima wasanii wakubwa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

🎥 via Spmbuzzke written by @el_mando_tz

 

link ya video

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents