Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzLady Jay DeeMuzikiVideosWema Sepetu

P Diddy tulimkatalia akatununia – Lukamba (Video)

Akipiga story na @el_mando_tz @lukambaofficial amesimulia mwanzo mwisho walivyofika kwa P Diddy na namna walivyopokelewa mpaka kula chakula.

Anasema P Diddy alijaribu kuwaita wakaangalie Movie wote lakini Swizz Beats ambaye ndio alikuwa mwenyeji wao akigoma.

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents