Habari
Pabo na Asha wang’ara Smilling Faces
Katika kinyanyiro cha kumtafuta Model katika onyesho lililoandaliwa na Smilling Faces, Pabo Fabiani na Asha Mohamedi waliibuka washindi na kuwa ma Model kwa siku hiyo, kwa mujibu wa kura zilizopigwa na mamodel wenyewe.
Katika tamasha hilo la mavazi lili udhuliwa na wasanii na mamodel wengine ambao kwa sasa wanachipukia kwenye tasnia ya U-model