Michezo
Pamba ya Mwanza wafanya mazoezi ya Kijeshi (Video)
Haya ni mazoezi ya klabu ya Pamba kutoka mkoani Mwanza wakijiandaa na ligi kuu nchini Tanzania bara kwa msimu 2024/25.
Pamba wapo mkoani Morogoro wakijifua kwa ajili ya ligi msimu ujao.
Kipi umekipenda kutoka kwao??