HabariMichezo

Pambano la Msukuma vs January Makamba (+Video)

Kuelekea pambano la Bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya Kuvesa Katembo kutoka Afrika Kusini lenye lengo la kukusanya pesa za kununulia taulo za kike baadhi ya waheshimiwa wabunge wanatarajiwa kushiriki kwa kuingia Ulingoni siku hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari promota wa mchezo huo ambaye pia ni Mbunge, Sophia Mwakagenda amesema amewashawishi viongozi hao kumuunga mkono.

”Pambano la kwanza kwa wabunge kwa dakika tatu tatu, Msukumu yeye anataka kucheza na January Makamba, lakini pia Babu Tale atacheza na Mhe. Kingu, Salome Makamba yeye atapambana na Neema Lugangira.”- amesema Sophia Mwakagenda.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents