Michezo
Partey awatoa hofu Mashabiki wa Arsenal
Kiungo wa nafasi ya Ulinzi wa klabu ya Arsenal Raia Ghana Thomas Partey amekanusha uvumi kwamba mwisho wa msimu huu ataondoka Arsenal, badala yake amesema ana furaha klabuni hapo na hafikirii kuondoka hivi karibuni.
“Hii ndio sehemu niliyochagua kucheza ninafuraha sana ninapokuwa uwanjani najua kuna mengi huko nje, ila nitaendelea kuwa hapa” alisema Partey.
#
Imeandikwa na Mbanga B.