HabariMichezo

Pata Boda Mpyaa Kutoka Meridianbet Beti na Kitochi!!

Mwezi huu wa Januari ukiachana na tabu ndogo ndogo za kimaisha pale Meridianbet wakali wa odds bomba nakubwa, unaambiwa ni shangwe juu ya shangwe, Ile promosheni ya kijanja mjini sasa imerudi tena baada yakutoa kutoa Smartphone kibao, bajaji, TV na Bodabodakwa washindi wetu hatimaye tena Beti na Kitochi imekujakivingine.

 

Unaambiwa hivi kuanzia Januari 21 mpaka Februari 20, 2023 nimuda ambao Promosheni ya Beti na Kitochi itakuwa ikifanyakazi na kubwa kuliko ni kwamba kuna mzigo mpyaaa waBodaboda unakusubiri wewe hapo, cha kufanya ni kupiga*149*10# kisha weka ubashiri wako mara kwa mara. Odds bomba zipo Meridianbet.

 

Ili kuwa mshindi wa Bodaboda mpyaa!!! Kwenye Beti nakitochi bila bando, ni lazima kwanza ubeti siku tano mfululizokwa dau la kuanzia tzs 500/= ambapo kujiweka kwenye nafasinzuri ya kushinda kirahisi ni unapaswa kucheza mara nyingiZaidi.

 

Usichoke kubashiri mtu wangu huenda ukawa kama DidasYeremia MSHINDI wa Bajaji au Bw Alex mshindi wa TV inch 50, wote hawa hawakukata tamaa waliamini katika usemiwa kwamba safari ya mafanikio ni ngumu ina milima namabonde hivyo uvumilivu na subra ni siri ya mtu yeyotealiyefanikiwa.

Masharti ya Promosheni mpya ya Beti na Kitochi

Ni muhimu kuelewa haya yafuatayo kabla hujaingia kwenyePromosheni hii kutoka Meridianbet:

Droo ya zawadi ya Promosheni itafanyika tarehe20.02.2023
Dau la chini kubashiri ni kuanzia TZS 500/=
Washindi wa Promosheni ya beti na kitochi, ni lazimawakubali kupigwa picha na kuwekwa kwenye chaneliza mitandao ya kijamii za Meridianbet.
Promosheni hii ya Beti na Kitochi inapatikana kwakupiga *149*10# BURE.
Meridianbet wana haki ya kubadili masharti na sharia za promosheni muda wowote, pamoja na kusitishaPromosheni.

Beti na Kitochi kwa odds bomba hata ukiwa hauna bando muda wowote Mahali popote, hii maalum kwako weweambaye unahitaji kubashiri lakini una changamoto za kimtandao, hauna simu janja au hauna bando, Meridianbetwamekurahisishia kazi ushindwe wewe tu. Mechi zoteunazochagua zina Odds bomba na kubwa twende kazi mtuwangu.

Related Articles

Back to top button