HabariSiasa

Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Arusha.
Kabla ya uteuzi huo, Makonda alikuwa Katibu wa Uenezi, Itikadi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi
(ССМ).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents