Michezo
Pesa za usajili nitazitoa mimi – Murtaza Mangungu

“Pesa za usajili niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.” — Murtza Mangungu.