Mahojiano

Peter Msechu: Kweli kuna wasanii wanaimba matusi, wanahisi wasipoimba matusi hawafanyi vizuri BASATA waangalie (+ Video)

Mbali na kulamba dili leo msanii @peter_msechu ameungana na BASATA na kusema kuwa walichofanya BASATA sio kitu kbaya bali wasanii wanatakiwa wajitathimini na kutafuta njia nzuri ila kiukweli kuna wasanii wanaimba nyimbo za matusi sio nzuri katika jamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents