Mahojiano
Peter Msechu: Sipendi watu wakinifananisha na Komba, mimi ni Msechu na yeye alikuwa Komba (+ Video)
Akiongea na bongofive msanii Peter Msechu amewashukuru Watanzania kw akuzipenda nyimbo zake mbili za maombolezo ya hayati Rais Magufuli na kueleza kuwa tangu aanze muziki 2009 hajawahi kuingia trending Youtube ila nyimbo hizi za maombolezo zimempeleka trending kwa mara ya kwanza.