Michezo
Peter Passion: Simba wasipojiangalia watapoteza kesho dhidi ya JKT Tanzania

Mchambuzi wa soka @peterpassion amesema kuwa Simba in spades kuanza na Allasane Kante pamoja na Naby Camara katika eneo la kiungo hapo kesho la sivyo kiungo wa JKT Tanzania Ally Msengi ndiyo atakuwa nyota wa mchezo
🎤@witnessflavian24
🎥@johnbosco_mbanga






