Uncategorized

Phlexdenary arudi na nyingine baada ya kufanya vizuri na Rayvanny

Phlexdenary ni mmoja kati ya msanii kutoka nchini Nigeria ambaye hajifungi katika ufanyaji wa muziki wa aina ya muziki ambaye amefanikiwa kufanya kazi na wasanii mbalimbali Afrika akiwemo Rayvanny kutoka Tanzania ambaye amewahi kufanya naye kazi “Bam Bam”.

 

Wimbo ambao ulifanikiwa kufanya vizuri katika pande zote audio pamoja na video.

Phlex ameachia kazi yake mpya na video kali kuwahi kutokea ya wimbo wake unaoitwa “FLAVOUR” Kuwa Wakwanza 

Kutazama Wimbo Huu Kupitia Channel Yake Ya Youtube Na Pia Kumfuata Katika Mitandao Yake Ya Kijamii,Instagram,Facebook Pamoja Na Twitter Kwa Jina @Phlexdenary .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents