FahamuPicha

Picha 10 za Barack Obama na mkewe zitakazokuacha mdomo wazi

Barack Obama alikuwa Rais wa 44 wa nchi ya Marekani ambapo aliongoza taifa hilo kwa vipindi viwili vya uongozi na kumpisha Rais wa sasa Donald Trump.

Obama amemuoa Michelle ambaye wamejaliwa wote watoto wawili wa kike, Malia na Sasha, Obama na Michelle ni moja ya couple zenye nguvu zaidi dunia. Hizi ni picha za wawili hawa ambazo si kawaida kuzishuhudia katika mazingira ya kawaida.


Related Articles

Back to top button